User Registration

or Cancel
 • Wajumbe wa Bodi
  Wajumbe wa Bodi

  Wajumbe wa Bodi  ya Ushauri  ya Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi Mh. Prof.  Palamagamba Kabudi , Waziri wa Katiba na Sheria baada ya kikao cha kuwaaga rasmi tarehe 04.10.2017 katika makao makuu ya Wakala Keko Mwanga, jijini Dar es Salaam

 • Hafla ya Kuwaaga Wastaafu
  Hafla ya Kuwaaga Wastaafu

  Wastaafu (waliokaa wakiwa wamebeba zawadi ya saa) wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mtendaji Mkuu ndugu Jacob Kibona(aliyeketi katikati) pamoja na wafanyakazi wa Wakala ya Huduma ya Ununuzi Serikalini-GPSA baada ya hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika Makao Makuu ya Wakala Keko Mwanga jijini Dar es Salaam.

 • Maonesho ya Nanenane
  Maonesho ya Nanenane

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philip Mpango akipata maelezo kuhusu shughuli za Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini-GPSA  alipotembelea Banda la Wakala kwenye  Maonyesho ya siku ya Wakulima  Nanenane  iliyoadhimishwa Kitaifa  Mkoani Lindi mwaka 2017

 • Mzabuni Akikabidhiwa Mkataba
  Mzabuni Akikabidhiwa Mkataba

  Kaimu Mkurugenzi wa Ununuzi na Ushauri Bi. Lilian Mwinuka akimkabidhi Mzabuni  mkataba maalumu wa vifaa na huduma mtambuka 2017/18, Bw. Edward Shayo ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kmpuni ya EA Brothers Contractors Company Limited.

 • Karatasi ukubwa wa A4
  Karatasi ukubwa wa A4

  Moja ya bidhaa za wakala wa huduma ya ununuzi serikalini (gpsa) iliyoingia karibuni  na inapatikana kwa wingi kwenye maghala ya wakala

   

 • Ununuzi wa pamoja wa magari
  Ununuzi wa pamoja wa magari

  Haya ni baadhi ya magari yaliyonunuliwa na Wakala wa huduma ya ununuzi serikalini (GPSA) kupitia mfumo wa ununuzi wa pamoja  kwa ajili ya mamlaka ya hifadhi za taifa  Tanzania (TANAPA)

Quick Links

Public Notice

Prev Next

NOTIFICATION OF ACCEPTANCE TO SUCCESSFUL TENDERERS…

13-07-2018

13/07/2018   NOTIFICATION OF AWARD TO SUCCESSFUL TENDERERS OF FRAMEWORK AGREEMENTS   RE:   TENDERS FOR COMMON USE ITEMS AND SERVICES USING FRAMEWORK ARRANGEMENTS FOR THE PERIOD OF 2018/2019 Following the Notice of Intention to Award...

Read more

STRATEGIC PLAN

19-07-2017

STRATEGIC PLAN FOR THE YEAR 2013/2014 -2017/2018

Read more

GPSA new ministerial advisory board Inaugurated.

30-01-2017

  The Deputy Minister for Finance and Planning, Honorable Dr. Ashatu Kijaji has directed all Public Institutions to procure their Common Use Items and Services (CUIS) through Government Procurement Services Agency;...

Read more

Public Procurement Regulations 2013

07-03-2014

To download the The Public Procurement Regulations, 2013 click here

Read more

GPSA Catalog

09-09-2013

To view GPSA stock catalog please click here

Read more

Planning, Monitoring And Evaluation Unit

12-03-2013

PLANNING, MONITORING AND EVALUATION UNIT (a)  The general functions of the Unit shall be to: (i)   Coordinate formulation and preparation of annual plans, business plans and medium term strategic plans; (ii)   Provide technical...

Read more

Welcome to Framework Agreement System

27-01-2013

  This Framework Agreement system  is intended to enable PE's to access the relevant information when needed for procurement of CUIS arises. The arrangement of the information has been made in such...

Read more

Standard Documents

14-12-2012

                                                           ...

Read more

Audited Report

14-12-2012

                                                                 ...

Read more

Establishment Order and Its Amendment

11-12-2012

Please Click here to view establishment Order and its amendment

Read more

Visitors Counter

3500309
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
1459
1639
7842
2844640
27909
56569
3500309