Albamu ya Video
HUDUMA YA UGOMBOAJI NA UONDOSHAJI MIZIGO KIDIJITALI KUPITIA GIMIS
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) unapenda kuzikumbusha Taasisi zote za Umma ikiwemo miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali pamoja na wadau wake wa maendeleo kupata Huduma ya Ugomboaji na Uondoshaji wa Mizigo bandarini, mipakani pamoja na viwanja vya ndege kupitia GPSA.
Imewekwa: Feb 24, 2023
HOTUBA YA AFISA MTENDAJI MKUU PROF. GERALDINE A. RASHELI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA WAKALA KUTOKA NBAA
GPSA yaibuka mshindi wa tatu wa Uandaaji Hesabu kwa mwaka 2021 katika kipengele cha Taasisi za Umma iliyotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) jana Jumatano 30/11/2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Imewekwa: Feb 24, 2023
NAMNA YA KUJIUNGA NA MFUMO JUMUISHI WA KIELEKTRONIKI WA WAKALA WA GIMIS
Hatua mbalimbali ambazo Taasisi Nunuzi inapaswa kujiunga katika mfumo huu ikiwemo kujaza fomu za kujiunga zinazopatikana katika tovuti ya Wakala ya www.gpsa.go.tz au katika ofisi za Wakala zilizoko mikoa yote Tanzania Bara.
Imewekwa: Feb 24, 2023
WAJIBU WA TAASISI NUNUZI KUJIRIDHISHA NA WAZABUNI WA VIFAA NA HUDUMA MTAMBUKA (VHM) KUPITIA MIKATABA MAALUMU.
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) unapenda kuzikumbusha Taasisi zote za Umma Nchini kuhusu wajibu wao katika utaratibu wa kuwatumia wazabuni wa Vifaa na Huduma Mtambuka yaani VHM kupitia Mikataba Maalum baada ya kuwashindanisha bei.
Imewekwa: Feb 24, 2023
Afisa Mtendaji Mkuu GPSA Dkt. Geraldine A. Rasheli akielezea historia, majukumu na mafanikio ya GPSA
The CEO of the Agency share the brief history of the Agency which goes back to 1901 when the German colonial rule established the first Depot (Government Stores)
Imewekwa: Feb 22, 2020
The Agency extend services to Katavi Region
The Agency has continued to extend its services through various area of the country but more recently the Agency has established offices and started offering of services to Katavi Region, Kahama and Ileje sales point.
Imewekwa: Feb 22, 2020