Habari
- 06-Mar-2023
GPSA MSHINDI WA TATU UANDAAJI HESABU ZA MWAKA 2021 NBAA

GPSA yaibuka mshindi wa tatu wa Uandaaji Hesabu kwa mwaka 2021 katika kipengele cha Taasisi za Umma iliyotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) jana Jumatano 30/11/2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Tuzo hii ilipokewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Prof. Geraldine A. Rasheli.