Habari
- 06-Mar-2023
GPSA YAKABIDHIWA KITUO CHA MAFUTA NA TBA BAADA YA KUKAMILIKA UJENZI
Makabidhiano ya kituo kipya cha mafuta cha GPSA mkoa wa Geita kati ya GPSA, Corporation Sole na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) yaliyofanyika siku ya Jumatano 05/10/2022 mkoani Geita.
Kituo kilikwishaanza kutoa huduma ya mafuta kuanzia tarehe 30/08/2022, na kinapatikana eneo la Magogo karibu na ofisi mpya za TANROADS na shule ya msingi Bombambili mkoani Geita.
Karibu tukuhudumie kwa mahitaji ya Vifaa na Huduma zote za Wakala.