emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI

Ununuzi Unaozingatia Thamani

Habari

    MAADHIMISHO SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE DUNIANI 2023

  • 15-Mar-2023

Maadhimisho ya siku ya Wanawake katika Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo (kulia mwenye koti la kijivu) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Prof. Geraldine A. Rasheli (kushoto mwenye koti la bluu). Mkoa wa Dar es Salaam unajumuisha Makao Makuu, Sehemu ya Ugomboaji na ofisi ya Dar es Salaam.