emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI

Ununuzi Unaozingatia Thamani

Habari


Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. @samia_suluhu_hassan kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya GPSA Bi. Dorothy Mwanyika ikiwa ni shukrani ya kuweka mazingira wezeshi ya matumizi ya mifumo ya Tehama ikiwemo mfumo wa GIMIS katika hafla ya Uzinduzi wa mfumo huo pamoja na majengo mapya ya Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage-Hazina siku ya Jumamosi 21/10/2023 jijini Dodoma.