emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI

Ununuzi Unaozingatia Thamani

Habari kwa Umma

TANGAZO LA KUSOGEZWA MBELE KWA MARUDIO YA MCHAKATO...

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) anapenda kuwajulisha umma na wazabuni wote kuwa marudio ya mchakato wa zabuni kwa wazabuni waliokwama kutokana na changamoto za...