emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI

Ununuzi Unaozingatia Thamani

Habari

MAFUNZO YA VIASHIRIA VYA UDANGANYIFU (FRAUD RISK MANAGEMENT) KWA VIONGOZI WA GPSA MAKAO MAKUU NA MIKOA YOTE

Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) umefanya mafunzo ya Viashiria vya Udanganyifu (Fraud Risk Management) kwa...

MENEJIMENTI YA WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI (GPSA) WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MEZA KUU IKIONGOZWA NA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB)

​Menejimenti ya Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza Kuu ikiongozwa na Wa...

WAZIRI WA FEDHA MH DKT MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA MAONO YA MH. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN MIFUMO ISOMANE KATIKA UTENDAJI KAZI WA SERIKALI (UZINDUZI MFUMO WA GIMIS).

"Mheshimiwa Rais Dkt. @samia_suluhu_hassan amekuwa akisisitiza mifumo ya Serikali isomane hivyo ni muhimu mifumo mingine...

UZINDUZI WA MFUMO WA GIMIS NA MAJENGO (GPSA)

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...

KIKAO KAZI KATI YA GPSA NA TANESCO

Menejimenti ya GPSA na TANESCO zilikutana siku ya Ijumaa tarehe 15/09/2023 katika ukumbi wa mikutano wa GPSA Makao Makuu...

KUHITIMISHA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI (RISK MANAGEMENT TRAINING) KWA VIONGOZI NA WATUMISHI(RISK PIONEERS)

​KUHITIMISHA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI (RISK MANAGEMENT TRAINING) KWA VIONGOZI NA WATUMISHI(RISK PIONEERS)